Liens d'accessibilité

Dernières nouvelles

Swahili: Usiku wa ubakaji


Children stand at there house outside the small village of Walikale, Congo. Hundreds of woman and children have been victims of rape and murder in Congo, by rebel troops.

Feza ni mwanamke aliyebakwa na wanajeshi watatu waliovamia kijiji chao wakati wa usiku.

Feza amekuwa akiishi katika kituo cha msaada kwa miaka mitatu tangu abakwe na wapiganaji watatu baada ya kijiji cha kuvamiwa wakati wa usiku. Wanajeshi hao waliingia kijijini hapo kutoka porini na kuteka wanawake kadha na kurudi nao porini.

Feza alibakwa na wapiganaji watatu na baada wakamtupa porini. Katika ubakaji huo alipata mimba lakini mtoto alifariki akiwa tumboni. Mpaka sasa amefanyiwa operesheni sita kumtibu magonjwa yaliyotokana na ubakaji huo, na madaktari wanasema watalazimika kumfanyia operesheni nyingine.

XS
SM
MD
LG