Liens d'accessibilité

Dernières nouvelles

Swahili: Mwathirika wa ubakaji azungumza


Children stand at there house outside the small village of Walikale, Congo. Hundreds of woman and children have been victims of rape and murder in Congo, by rebel troops.

Rita ni mwanamke wa miaka 35 aliyebakwa na watu wanne baada ya kijiji chao kuvamiwa mwanzoni mwa mwaka 2010.

Rita alijikuta hana pa kukimbilia baada ya kijiji chake kushambuliwa na genge na wapiganaji. Wanavijiji walitawanyika kuingia maporini kuepuka uvamizi huo lakini kwa bahati mbaya Rita alishindwa kuwatoroka wavamizi hao.

Kundi la wapiganaji wanne walimbaka mwanamke huyo kwa masaa kadha. Alipata mimba katika ubakaji huo na hatimaye kujifungua mtoto ambaye yuko hai mpaka sasa, akiwa anapatiwa msaada katika kituo maalum kinachoshughulikia waathirika wa ubakaji.

XS
SM
MD
LG