Liens d'accessibilité

Dernières nouvelles

Swahili: Atekwa na wapiganaji na kubakwa

Children stand at there house outside the small village of Walikale, Congo. Hundreds of woman and children have been victims of rape and murder in Congo, by rebel troops.
Children stand at there house outside the small village of Walikale, Congo. Hundreds of woman and children have been victims of rape and murder in Congo, by rebel troops.

Msichana mdogo atekwa na wapiganaji na kutumiwa kama mtumwa wa ngono.

Jantel alitekwa kijijini kwake akiwa msichana mdogo, hata hakumbuki alikuwa na umri gani. Wapiganaji hao walimchukua porini na kumtumia kama mtumwa wa ngono kwa muda mrefu. Hatimaye aliweza kutoroka mikononi mwa wapiganaji hao na kufika sehemu aliyopatiwa msaada.

Baada ya kufika katika kituo cha misaada aligundua kuwa amepata mimba na kujifungua mtoto ambaye yuko naye hivi sasa.

XS
SM
MD
LG