Liens d'accessibilité

Dernières nouvelles

Swahili: Abakwa akitafuta kuni


Children stand at there house outside the small village of Walikale, Congo. Hundreds of woman and children have been victims of rape and murder in Congo, by rebel troops.

Mama mwenye mtoto atekwa na wanajeshi wa FDLR na kutumiwa kama mpagazi na baadaye kubakwa.

Mama mwenye mtoto mdogo alitekwa na wanajeshi wa FDLR wakati anatafuta kuni nje kidogo ya kijiji chake. Wapiganaji hao walimtumia kama mpagazi, kubeba mizigo na baadaye kumbaka mmoja baada ya mwingine.

Alipata mimba katika ubakaji huo na baada ya kutoroka kwa msaada wa mke wa kamanda wa FDLR baada ya miezi minne mume wake akamkataa. Mtoto wake aliyetekwa naye alifariki dunia baada ya kuugua malaria. Baadaye alipata mtoto mwingine aliyempa jina na Neema.

XS
SM
MD
LG